Jeremiah 52:30


30 akatika mwaka wa ishirini na tatu wa utawala wake,
Wayahudi 745 walichukuliwa kwenda uhamishoni na Nebuzaradani jemadari wa askari walinzi wa mfalme.
Jumla ya watu wote walikuwa 4,600.

Yehoyakini Anaachiwa Huru

Copyright information for SwhKC